Published in: 2008
Publisher:
Sustainable Sanitation Alliance (SuSanA)
Author:
SuSanA
Uploaded by:
SuSanA secretariat
Partner profile:
common upload
12264 Views
72 Downloads
Lengo kuu la Muungano wa Mashirika tekelezi ya Usafi Himiliki ni kuchangia katika kufanikisha malengo ya milenia kwa kueneza mifumo himiliki ya usafi. Muungano huu unaenzi na kushabikia malengo ya milenia na Mwaka wa Kimataifa wa Usafi kwani hutetea sana hali ya usafi na kuufanya upate kipaumbele katika ajenda za maendeleo. Kazi ya muungano huu ni kuchangia katika utekelezi wa mifumo himiliki ya usafi kwa kiwango kikubwa, kuandaliwa na kufanikishwa kwa programu za maji na usafi mintarafu ya mikakati iliyopendekezwa na WHO, UNDP-PEP, UNSGAB na UNESCO.
This document was kindly proivided by Raphael Mwaura Gacheiya (ROSA) and Dr. Benedict M. Mutua (EGERTON UNIVERSITY/Kenya).
SuSanA (2008). Mwelekeo kwa suluhu la usafi himiliki (in Kiswahili) - Towards more sustainable sanitation solutions - SuSanA Vision Document. Sustainable Sanitation Alliance (SuSanA)
Factsheets and policy briefs Publications by SuSanA Publications by SuSanA Swahili
Share this page on